Alert

Click for the Return to Learn Website

7/1/2020 12:59:00 PM
This site contains our Return to Learn plan for the 2020-21 school year.
 

Family and Community Feedback Sessions - Swahili

July 17, 2020 12:26 PM
Logo1_copy

Familia za Cedar Rapids na Jumuiya ya Wananchi,

Wiki ijayo tunawaalika kwenye vikao vya maoni ya familia na jamii katika shule za wilaya yetu. Wakati wa vikao hivi tutashiriki habari kuhusu mipango yetu ya sasa kuhusu kurudi kwa watoto mashuleni katika msimu wa kuanguka mnamo mwezi wa nane na kukusanya maoni kutoka kwako kuhusu mipango haya.

Hapa chini ni tarehe, muda na mahali za mikutano hizo:

Tarehe Julai 20    Washington    11:00-12:30 (ukumbi)

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Familia na Jumuiya # 1

 

        Washington     6:00-19:30 (ukumbi)

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Familia na Jumuiya # 2

 

Julai 22         Harding        11:00-12:30 (ukumbi)

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Familia na Jumuiya # 3

 

        Harding        6:00-19:30 (ukumbi)

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Familia na Jumuiya # 4

 

Julai 23        TAFT MIDDLE SCHOOL    11:00-12:30 (ukumbi) 
Kifaransa na Kiswahili wakalimani inapatikana

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Familia na Jumuiya # 5

 

        TAFT MIDDLE SCHOOL    6:00-19:30 (ukumbi)  Kihispania wakalimani inapatikana

        Zoom Link    Kikao ya maoni ya Family na Kikao # 6

 

Tunakukaribisha ujiunge nasi na ujifunze zaidi juu ya rasimu ya mipango yetu ya kurudi shuleni mwakani na kushiriki maoni yakoi. Tunaomba utume mtu mmoja tu kwa kila familia kwani tuna uwezo mdogo kwa sababu ya mahitaji ya sasa hivi ya watu kukaa kwa umbali katika jamii. Tunaomba pia watakaohudhuria mikutano hizi wavae maski kabla ya kuingia kwenye mikutano hizi. Tunatumaini kukuona wiki ijayo na tunatarajia kusikia kutoka kwako.

 
Back to news
Close